Wanafunzi hawana viatu

Albano Midelo

MIAKA 50 ya uhuru bado kuna shule ambazo wanafunzi wanasoma bila kuvaa viatu.Hawa ni wanafunzi wa shule ya msingi Liwundi iliyopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Robo tatu ya wanafunzi wa shule hii hawana viatu jambo ambalo ni hatari kwa afya zao hasa wanapoingia kujisaidia kwenye vyoo vya shule.

Hawa ni wanafunzi  wa shule ya msingi Mkili wilayani Nyasa hapa wakiwa mstarini kwa ajili ya kukaguliwa na kupandisha bendara ya Taifa kabla ya kuingia darasani.Hata hivyo jambo la kusikitisha wanafunzi zaidi ya 300 kati ya 500 wanaosoma katika shule hii hawana viatu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *