Misaada ya Maendeleo Afrika inaingia kwenye mifuko ya matajiri, maskini waendelea kutaabika
Maendeleo ya nchi za Afrika kwa sehemu kubwa yanategemea misaada kutoka nchi…
Watoto wachanga 5,995 kuzaliwa mwaka mpya nchini Tanzania, asilimia 37.3 hufariki kabla ya kutimiza mwezi mmoja
Inakadiliwa kuwa watoto wachanga 5,995 wamezaliwa katika siku ya mwaka mpya wa 2018…
Askofu Kakobe: Sina mradi wa kiuchumi, nina utajiri wa rohoni
Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe ameijibu…
Sakata la Askofu Kakobe kuwataka watawala kutubu lachukua sura mpya, TRA kumchunguza utajiri wake
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inakusudia kuchunguza utajiri na ulipaji wa kodi…
Tathmini ya mwaka: Tanzania inatekeleza ipasavyo haki ya kuishi?
Kuishi ni haki ya msingi ambayo binadamu anatakiwa kuwa nayo ili apate…
Utafiti: Ulaji wa samaki kuongeza uwezo wa kufikiri, kutibu matatizo ya kukosa usingizi
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania unaeleza kuwa watoto wanaokula samaki…
Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji wa Tanzanite, serikali yashauriwa kuwawezesha wachimbaji wazawa
Imeelezwa kuwa ili Tanzania iwe kitovu cha uzalishaji wa vito vya madini…
Sekta isiyo rasmi inachangia asilimia 41 ya Pato la ndani la Afrika, teknolojia mpya kuididimiza
Licha ya pato la ndani la bara la Africa kwa sehemu kubwa …
Mazingira: Mirija ya plastiki changamoto nyingine uhifadhi wa vyanzo vya maji
Na Daniel Samson Licha ya juhudi mbalimbali za serikali na wadau wa…