Chanzo cha maji chenye madini ya chuma

Latifa Ganzel

Maji ya chanzo cha Lipasi yanayodaiwa kuwa na madini ya chuma, kama yanavyoonekana yanarangi ya kutu, chanzo cha Lipasi kipo katika milima ya Matogoro Songea manispaa ni miongoni mwa vyazno 9 vinavyotumiwa na SOUWASA kwaajili ya maji safi na taka katika manispaa hiyo, pia kinaingia katika mto Ruvu

1 Comment
  • Nchi hii imebarikiwa kwa utajiri lakini sisi ni masikini wakujitakia. tuchimbe hayo madini nondo zipungue bei ili tumudu kujenga magorofa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *