Latest Featured News
RAAWU: Serikali imehusika kumdhuru Dk. Ulimboka
CHAMA cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari…
Matapeli ‘wawaliza’ wanaotaka ajira TRA, baadhi wakamatwa
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA)kwa kushirikiana na vyombo vya dola, imewakamata matapeli…
Washika mipini mnawahisha mazishi ya CCM kabla ya 2015
BADO najiuliza kwa nini “washika mipini” (Spika, Majaji, Mwanasheria Mkuu, Mawaziri, n.k)…
Mamlaka ya Dawa yadai haijui athari za dawa feki
MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imesema haijui ukubwa wa tatizo…
Walinzi mgodini wafanya unyama, wamng’oa mtu meno
WALINZI wa kampuni ya uchimbaji madini ya Tancan Mining Limited inayoendesha shughuli…
Polisi warudisha maiti walopora, washitaki viongozi wa Chadema
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na…
Polisi wapora maiti walioua kwa risasi mgodini Tarime
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya Mkoani Mara, kupitia…
Viongozi Uamsho wazidi kujisalimisha polisi Zanzibar
VIONGOZI wengine wawili wa Jumuiya ya Uamsho Visiwani Zanzibar, leo wamefika Makao…
Wabunge wataka Bodi ya Pamba ivunjwe mara moja
WABUNGE wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa, wameitaka Serikali kuivunja mara moja…