Polisi ivunjwe kwa kushindwa uchunguzi sumu ya Mwakyembe-wito
WAKATI Mbunge wa Kyela na Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe,…
Plan International kutumia Euro 800,000 kuwakomboa watoto migodini
SHIRIKA la Plan International, limepanga kutumia Euro 800,000 (sawa na Sh. Bilioni…
Madaktari Bugando waanza kazi, wakisubiri ahadi ya serikali kutekelezwa
MADAKTARI katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza, wameungana na wenzao wa nchi…
Madiwani Muleba walia na watendaji kufuja mapato, mwenzao awalipua
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera wamketaka kushughulikiwa haraka…
Ukiona uvuaji gamba ni ovyo, wewe ndiye wa ovyo-Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete, amekiri wazi kuwepo kwa vuguvugu la upinzani lenye nguvu…
Vigogo wa Wazazi CCM wagombana hadharani kabla ya Kikwete kufika
MAANDALIZI ya sherehe za maadhimisho ya miaka 35 tangu kuzaliwa kwa Chama…
Zahanati yafungwa baada ya Muuguzi wake kwenda likizo!
WAKATI baadhi ya hospitali zikiathiriwa na mgomo wa madaktari, mkoani Mwanza kumetokea…
Zitto, Mnyika walishangaa Bunge; “Liko ‘out of touch’ na wananchi asema Zitto!
Katika taarifa yake katika mitandao mbalimbali ikiwamo blogu yake, Zitto amesema inasikitisha…
Madiwani wataka Mkurugenzi akamatwe kwa ufisadi mzito
"Bila kutupa majibu mazuri kwa fedha hizi Mkurugenzi, kuanzia leo hatutakuwa na…