Ushuru wa bidhaa: Kero ya Muungano iliyokosa ufumbuzi wa kudumu
Serikali ya Tanzania Bara na ile ya Zanzibar kukutana kujadili kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero ya ulipaji kodi ya mizigo kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara.…
Content that Counts!
Serikali ya Tanzania Bara na ile ya Zanzibar kukutana kujadili kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero ya ulipaji kodi ya mizigo kutoka Zanzibar kwenda Tanzania Bara.…
Serikali ya Tanzania imeanza kunufaika na sheria mpya ya madini kwa kufanikiwa kukusanya mrabaha wa Tsh Milioni 615 kutoka kwa wachimbaji wadogo wa Tanzanite katika robo ya kwanza ya mwaka…
Hivi karibuni Rwanda imebadili Sheria yake ya mwaka 2009 iliyokuwa inakataza umiliki na uuzwaji wa silaha za moto. Sheria mpya ya silaha za moto nchini humo inaruhusu wananchi kumiliki silaha…
Rwanda imewaonya raia wake wanaoingia kinyume cha sheria katika Mbuga za Wanyama mkoani Kagera kwa madai kuwa wanahatarisha ujirani mwema baina ya nchi hiyo na Tanzania. Hatua hiyo imekuja siku…