Kimboza Camp, pametelekezwa

Latifa Ganzel
Kimboza Camp
Msitu wa Kimboza
Kempu ya Kimboza ikiwa imetelekezwa kutokana na wanakamati wa mazingira katika msitu wa Kimboza kususia kutokana na kutofaidika na msitu huo kwa madai kuwa vibali vinatolewa holela vya kukata miti
msitu wa kimboza
Huo ndio msitu wa Kimboza ambao unapatikana miti aina ya pandama ambayo ni miti pekeee wanayoishi mijusi aina ya gecko ambao hawapatikani duniani kote isipokuwa katika Msitu wa Kimboza ambao upo katika wilaya ya Morogoro kata ya Mkuyuni kijiji cha Mwalazi
mijusi-ya-kimboza
Mijusi aina ya ‘Gwanko Williams’ ambao wanapatikana katika miti ain ya Pandama inayopatikana eneo pekee la msitu wa hifadhi ya Kimboza iliyopo katika Kijiji cha Mwarazi, kata ya mkuyuni wilaya ya Morogoro ambao ni rasilimali adimu inapatikana mkoani hapa pekee duniani kote na sasa iko hatarini kupotea kutokana na wafanyabishara haramu wa wanyama kusafirisha kiholela
Usafiri ulionipeleka Kimboza
4 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *