Makumbusho ya Taifa la Msumbiji

Albano Midelo

Pichani (chini) ni ndani ya makumbusho ya Taifa ya Msumbiji ambayo yapo katika eneo la Congresso mkoa wa Niassa. Eneo hili ni muhimu katika ukombozi wa nchi ya Msumbiji kwa kuwa mkutano wa mwisho ulisababisha nchi hiyo kujikomboa kutoka mikononi mwa wareno ulifanyika mwaka 1968 na kuleta uhuru mwaka 1975.

(Juu) Hapa ni miongoni mwa maeneo ya makumbusho ya Taifa ya Msumbiji katika eneo la Congresso mkoa wa Niassa ambako mamia ya wapigania uhuru wa Msumbiji akiwemo mkuu wa majeshi ya nchi hiyo wakati huo  Hayati Samora Michael pamoja na hayati Edward Mondrane  walifanya mkutano wao wa mwisho na kupata uhuru.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *