Mwalimu Nyerere, Tunakukumbuka!

Jamii Africa

Father of the NationTunakukumbuka!

Tunapoangalia hawa wanavyoshindwa kutujenga pamoja tunazidi kukumic! Fikra zako zitapitishwa toka kizazi hiki kwenda kingine; utu, usawa, umoja na mapenzi ya dhati kwa taifa letu.

Kukataa dhulma, uonefu, unyonyaji na unyanyasaji ni tunu ambazo ulizipigania na kizazi kingine kimeanza kupiga vita mambo hayo.

Asante kwa utumishi uliotukuka kwa taifa lako. Milele tunashukuru kuwa ulikuwa kati yetu kama mmoja wetu, KWELI MTU WA WATU!

1 Comment
  • TZ hakuna wasomi kwani wengi hawana utu, usawa, umoja na mapenzi ya dhati kwa taifa letu,ndiyo maana wanahusudu kiingereza,kuvaa kimagharibi,kula kimaghgaribi,kutembea hadi kuongea ni kimagharibi.

    Wasomi hawaana vitabu wameandika walio andika wa mekopi,wasomi wezi na mafisadi,wasomi hawagundui c wagunduzi,wasomi si wazalendo,wabinafsi,wanachuma kwa ajili ya familia zao,wasomi gani waleo wana fikiria maisha ni nyumba gari na mke,wasomi wasio muenzi Nyerere,Sokoine,Nkwame Nkuruma kwa vitendo,wasomi waoga na c wadhubutu.

    Mtaala wa elimu ulichakachuliwa miaka ya 1997 na wazungu pitia viongoizi wetu panya wakizungu kama Ghadafi au Mugabe wanavyo watambua.Tz inahitaji ukombozi wa Kifikra,Tatizo kubwa ni “UMASIKINI WA AKILI”& “BUMBUAZI LA MOYO”hasa kwa wasomi watumbo.MWENYEZI MUNGU uwapumzishe kwa amani wanamapinduzi wote walio itete Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *