Maambukizi ya Ukimwi yanavyoshamirisha yatima shule za msingi Iringa, Mbeya
Mikoa ya Iringa, Mbeya na Njombe imetajwa kuongoza kwa idadi kubwa ya wanafunzi yatima wanaondikishwa katika shule za mingi, jambo linaloweza kuongeza gharama za matunzo kwa watoto hao. Kulingana na…