Polisi wapora maiti walioua kwa risasi mgodini Tarime
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime na Rorya Mkoani Mara, kupitia askari wake wa FFU limelazimika kutumia nguvu pamoja na kuwatisha kwa silaha wananchi na waombolezaji wa marehemu, Mgosi…
Viongozi Uamsho wazidi kujisalimisha polisi Zanzibar
VIONGOZI wengine wawili wa Jumuiya ya Uamsho Visiwani Zanzibar, leo wamefika Makao Makuu ya Upelelezi Zanzibar ambako walihojiwa kwa muda kuhusiana na vurugu za wiki iliyopita visiwani hapa kabla ya…
Wabunge wataka Bodi ya Pamba ivunjwe mara moja
WABUNGE wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa, wameitaka Serikali kuivunja mara moja Bodi ya Pamba nchini (TCB), kwa madai ya kushindwa kuwanufaisha wakulima wa hali ya chini, badala yake Bodi…
Ufisadi Chunya unatishia ustawi wa wafugaji
“MAISHA yetu ni kama kifaranga aliyekosa mama kwani hali zetu za kiuchumi kila kukicha zinazidi kudhoofika kama mgonjwa wa kwashiakoo’’,anasema Julius Machia ambaye ni kiongozi wa kikundi cha umoja wa…
Zanzibar hali bado tete baada ya vurugu za Muungano
WASIWASI mkubwa umetanda kwa siku ya pili mfululizo katika mitaa ya miji ya Zanzibar baada ya askari wa jeshi la polisi kupiga mabomu ya kutoa machozi ili kuwatawanya wafuasi wa…
Mambo 5 ambayo Watanzania wanayakataa na hawatovulimia tena chini ya CCM
Watanzania wameamua kukataa kuonewa na watawala wao. Kuonewa huku kunakuja kwa aina nyingi sana lakini kubwa ni ile hisia ya tofauti kati ya watawala na watawaliwa ambapo watawala ambao kutokana…
Samaki wanatoweka ziwa Rukwa
“SAMAKI wengi wametoweka akiwemo aina ya kachinga ambaye ni maarufu katika ziwa Rukwa kutokana na ladha yake hivi sasa hatumuoni tena’’,anasema mvuvi Stanley Rwamba(65) wa kijiji cha Totowe Bonde la…
CHADEMA yaisambaratisha ngome ya CCM, CUF
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezisambaratisha ngome za CCM na CUF, Wilayani Magu Mkoani Mwanza, baada ya viongozi wake ngazi ya wilaya wakiwemo makada zaidi ya 97 wa CCM…
Wakurugenzi wa Halmashauri za Misungwi, Sengerema kupanda ‘kizimbani’
KUFUATIA kuwepo kwa tuhuma nzito za ubadhilifu wa fedha za miradimbali mbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza, imeelezwa kwamba, Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Xavier Tilweselekwa…