Timu ya TMF ndani ya milima ya Matogoro
Timu ya TMF , kutoka kushoto Mzee Ndimara , Daniel Mbega, Albano Midelo,Visencia Fuko, Latifa Ganzel pamoja na Beda Msimbe wakiwa katika chanzo cha maji cha Lipasi katika milima ya…
Mwalimu aliyejitoa muhanga kuishi porini
Mwalimu Salvius Nindi (40) wa shule ya msingi Mkenda iliopo mpakani wa Tanzania na Msumbiji akiwa katika moja ya nyumba zake za kitalii anazojenga kwaajili ya kuboresha kipato chake. mwalimu…
Sio binadamu, hata mbuzi ni waharibifu
Katika mabonde yenye vyazno vya maji vya mto Ruvuma mbali na wananchi kupigwa marufuku shughuli za kibinadamu lakini bado wanalima kwa kuibia, hata hata kuchunga mifugo hali ambayo inaweza kusababisha…
Mbinu za kupata habari
Wakati mwingine inakupasa kukaa hadi katika vilabu vya pombe , unywe hata kidogo japo hujazoea, hii inakusaidia kujua kero, matatizo na hata malalamiko ya wananchi kuliko kukaa ofisini na kusubiri…
Kilio toka kwa wagonga kokoto
Mwanamke aliyejulikana kwa jina moja Hadija akiwa na watoto wake hao, kwa sasa yeye na watoto wake wamekuwa wakijishughulisha na biashara ya kokoto ili kupata kipato kutokana na shughuli za…
Walinzi walalamikia kuingizwa mjini fedha zao
Huyu ni Poliphilio Komba muhudumu wa vyanzo vya maji vya Ruvuma na Lipasi katika milima ya Matogoro mkoani Songea. ni vyanzo vya maji vya mamlaka ya maji safi na taka…
Ulevi nomaaa
Elizabet Haule (50) mkazi wa kijiji cha Mahilo kata ya Matogoro wilaya ya Songea Manispaa akielezea jinsi alivyopata mimba kutokana na ulevi. Mama huyo alisema kuwa miaka 30 iliopita alikwenda…
Tanzania yazidi kuwa ngumu kutawalika; Wamachinga, wanafunzi wachachamaa
Kuzimwa kwa maandamano ya CHADEMA jijini Arusha mwanzoni mwa wiki na kuzuiwa kwa maandamano ya aina yoyote ya vyama vya siasa nchini kulitarajiwa kuwa kungezima harakati za kudai haki mbalimbali…
Lowassa kuongoza Harambee ya Kanisa Nyakato Mwanza
WAZIRI Mkuu Msitaafu, Edward Lowassa, wiki hii anatarajiwa kuzuru Jijini Mwanza kwa lengo la kuongoza harambee ya kuchangisha zaidi ya sh. milioni 150 katika Kanisa la Romani Katoriki, Parokia ya…