Janeth na kilio cha watoto yatima
MACHOZI ya mwanafunzi Janeth Julius (16) yanahitimisha mahojiano kwani sikuwa na ujasili wa kuuliza swali jipya. Yalibeba hisia za uchungu na ujumbe mzito uliowakilisha kilio cha watoto wa kundi lake.…
Mgombea Igunga azuiwa kumsalimia mwalimu wake
MGOMBEA ubunge jimbo la Igunga kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi CUF Leopold Mahona amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mfuasi anayedaiwa kuwa ni wa CHADEMA kumzuia asimsalimie mwalimu wake…
Wakati Zitto akiwagomea, VodaCom waja na ‘Red Alert’
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amesema hatotumia laini ya kampuni ya simu ya Vodacom kama adhabu kwa uamuzi wa kampuni kufanya shindano la urembo wa Miss Tanzania wakati nchi…
Kilaini: Andikeni habari za ufisadi na si majigambo ya wanasiasa tu!
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katholiki la Bukoba Methodius Kilaini amevitaka vyombo vya habari kuripoti habari za ufisadi na uzembe ili kuleta unafuu wa maisha kwa wananchi maskini badala ya kuandika…
Zitto: Taifa Msibani, Umoja wetu na Utu wetu shakani
Jana asubuhi tarehe 10 Septemba 2011 Taifa liligubikwa na habari za kushtusha za maafa. Mwanzoni taarifa zilisambaa kwamba zaidi ya watu 2,000 walikuwa kwenye Boti MV Spice Islander lililopinduka na…
Igunga: Mgombea wa CUF arejesha fomu
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Igunga kwa tiketi ya Chama cha CUF Leopold Mahona amerejesha fomu ya kugombea nafasi hiyo katika ofisi za Mkurugenzi wa wilaya ya Igunga ambaye ndiye…
Wakulima wa tangawizi walilia pembejeo za kisasa
WAKULIMA wa zao la Tangawizi katika kijiji cha Munzeze kilichopo katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wameiomba serekali kuwasaidia kuwapatia pembejeo za kilimo za kisasa kwa mkopo wa bei nafuu…
Wakulima waomba kujengewa maghala ya kisasa
WANAKIJIJI wa kijiji cha Lusesa katika Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma wanaiomba serekali iwasaidia kuwajengea maghala ya kisasa ya kuhifadhia mazao yao baada ya kuvuna ikiwa sambamba na kuwapatia elimu ya…
Ugonjwa wa kifafa washambulia kijiji kizima
Wananchi wa Kijiji cha Mtua ambacho kinapakana na pori la wanyamapori la Liparamba wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wapo katika hatari baada ya ugonjwa wa kifafa kushambulia karibu kijiji kizima. Uchunguzi…