Liganga-Mchuchuma: Danadana za maisha bora kwa wakazi wake zaendelea
TANZANIA imejaa watu wengi wanaopenda “ujanjaujanja” katika harakati za kufanikiwa maishani. Wengi wanapenda kuvuna wasichopanda na kula wasicholima wala huhemea. Wao wanaamini kutumia “njia za mkato” ili waneemeke. Na katika…
Utoaji mimba: Jinsi mtoto anavyouawa akiwa tumboni
PAMOJA na madhara na “dhambi” ya kuua inayowakabili wanawake wanaotoa mimba, bado hawakomi, FikraPevu imebaini. Zipo njia nyingi wanazotumia “kuwaua” watoto waliomo tumboni, lakini uchunguzi wa FikraPevu umebaini njia tisa…
Ekari 250 za kijiji zamilikiwa na mwekezaji kwa uzembe wa viongozi
UJIO wa Skimu ya Umwagiliaji ya Mlambalasi katika Kijiji cha Kiwere wilayani Iringa umeibua nongwa baada ya wananchi kuwatuhumu viongozi wao wa zamani kugawa ekari 250 za ardhi kwa mwekezaji…
UKIMWI: Sauti zisizosikika, majanga yasiyopona na biashara ya ukahaba
KWA Monica Ibrahim, kahaba anayefanya shughuli zake pale Mbeya Carnival Night Club, mapenzi ni furaha iliyopotea kitambo kwa kuwa inamletea majeraha mengi maishani mwake, kiasi cha kumlazimu kuendesha maisha ya…
Kwimba wajiapiza kurejesha heshima ya pamba, waweka malengo ya miaka mitatu
WILAYA ya Kwimba mkoani Mwanza ni kati ya maeneo yaliyovuma kwa kilimo cha zao la pamba kabla na baada ya Uhuru. Hata hivyo, zao hilo limepoteza mvuto miongoni mwa wakulima…
Humphrey Polepole aache dharau kwa Watanzania
Humphrey Polepole, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi, anawadharau Watanzania. Anabeza uwezo wao wa kufikiri, anadhani yeye anajua zaidi pengine kuliko Watanzania wengi, na…
Hakuna maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Zika Tanzania, lakini…
Tarehe 15 Desemba 2016, Dk Mwele Malecela, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI) alitangaza hadharani kuwa kuna virusi vya Zika nchini Tanzania. “Zika ipo nchini…
Elimu Bure mkoani Rukwa: Shule saba zaandikisha watoto 5,300 darasa la kwanza na awali Nkasi
WATOTO wapatao 5,354 wameandikishwa darasa la kwanza na awali katika shule saba zilizopo Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa mwaka huu katika mwitikio wa mpango wa elimumsingi bure, hali iliyosababisha msongamano…
Mbagala, Dar: Mwalimu mmoja anafundisha watoto 666. Wazazi kuchangishana kuokoa jahazi
UHABA wa walimu wa masomo ya sayansi nchini umesababisha mwalimu mmoja wa sayansi katika Shule ya Sekondari Mbagala jijini Dar es Salaam kulazimika kufundisha watoto 666 wa kidato cha kwanza,…