Wananchi wamshinikiza waziri Kituo cha Afya kifanye upasuaji
WAKAZI wa Kata ya Igoma jijini Mwanza, wamemshinikiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, kuhakikisha Kituo cha Afya katani hapo kinafanya kazi ya upasuaji.…
Hatari: Asilimia kubwa ya Watanzania kuugua uchizi, saratani. Wauguzi, wanafunzi, madereva wako hatarini zaidi
NI majira ya saa 11.40 alfajiri wakati ninapoparamia daladala kuelekea ofisini baada ya kumsindikiza binti yangu awahi shule kutokana na shida ya usafiri, si kwa wanafunzi bali hata kwa wakazi…
Mjadala mpya: Wanasheria wataka wanawake waruhusiwe kutoa mimba
CHAMA cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimedhamiria kuibua mjadala mpana kutetea utoaji mimba salama nchini. Mkurugenzi wa TAWLA, Tike Mwambipile, anasema mjadala unapaswa kulenga kuzuia utoaji mimba usio salama unaowasababishia…
Kilimanjaro: Wazazi wagoma kuchangia fedha za chakula kwa ajili ya wanafunzi
MPANGO wa utoaji wa elimu ya msingi bure unaotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano umeingia dosari baada ya wazazi kugoma kutoa michango ya fedha kwa ajili ya chakula cha mchana…
Mwanza: Vifaa vya upasuaji vyakosa kazi, vyafungiwa stoo licha ya kuwepo kwa jengo na watendaji
WAKATI Serikali ikitumia fedha nyingi kuboresha na kusogeza karibu na wananchi huduma ya afya, vifaa vya upasuaji katika Kituo cha Afya cha Igoma jijini Mwanza, vimefungiwa ndani bila kufanya kazi…
Kagera: Mtaalam aonya athari za kisaikolojia baada ya tetemeko
Matukio yanayohusishwa na athari za kisaikolojia baada ya tetemeko la ardhi la Septemba 2016 yanaendelea kuibuka katika maeneo tofauti mkoani Kagera huku waathirika wengi wakiwa ni wananchi wenye kipato cha chini,…
Dodoma: Hali bado tete, wajawazito wasafiri zaidi ya kilometa 100 kufuata huduma za uzazi
HUDUMA ya afya katika Kata ya Malolo, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma bado zina changamoto kubwa ambapo mpaka sasa wajawazito wanalazimika kusafiri umbali wa zaidi ya kilometa 100 kufuata huduma…
Mfumo mbovu wa Elimu wachangia matokeo mabaya Darasa la IV, Darasa la VII, Kidato cha II na IV 2016 Lindi na Mtwara
KUTOWEPO kwa hamasa na ushirikishwaji wa jamii kwenye masuala ya elimu, umbali watumiao walimu na wanafunzi kusafiri kwenda shule kutoka kwenye makazi yao, upungufu walimu wa masomo ya sayansi na…
There is no Zika virus outbreak in Tanzania. But…
On Dec. 15, Dr. Mwele Malecela, the Director General of National Institute of Medical Research (NIMR), as part of the institute’s annual report, announced publicly that the Zika virus is present in…