Polisi Dar waua watano kwa tuhuma za ujambazi

Jamii Africa

POLISI kutoka mkoa wa kipolisi wa Kinondoni, wameua watu watano wanaotuhumiwa kuwa majambazi katika eneo laMburahati, Dar es Salaam, baada ya kutokea mapambano kati yao Ijumaa Jioni.

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *