Mchakamchaka wa Polisi, Askofu Gwajima waendelea. Akamatwa tena, ahojiwa na kuachiwa
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameendelea kusakamwa na Jeshi la Polisi. Katika mazingira yanayoashiria kutokamilika kwa jitihada za kumfungulia mashitaka Askofu Gwajima, Polisi walimkamata jana na…