Abiria 38 wa ndege ya ATCL wanusurika kifo Kigoma

Jamii Africa

Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) imepata ajali wakati ikitaka kuruka katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma na abiria wote 38 waliokuwamo kunusurika.

Ndege ya ATCL baada ya kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma.

Ndege hiyo ambayo imekuwa ikifanya safari kati ya Kigoma, Mwanza na Dar es Salaam, imetumbukia katika dimbwi la maji lililotokana na mvua zilizoanza kunyesha mkoani humo.

http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/247602-abiria-air-tanzania-wanusurika-kifo.html

4 Comments
  • wizara ya uchukuzi iache ubabaishaji ni muda mwafaka wa kununua ndege za kisasa kama wenzetu wakenya

  • Nawapa pole wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo. Hata hivyo serikali yetu inatakiwa kuuwekea lami uwanja huo sasa, na watafute ndege nyingine za kuhudumia njia hiyo. Kisingizio cha kukosekana fedha hakikubaliki kwani kuna matumizi mengi yasiyo na maana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *