Kilio toka kwa wagonga kokoto

Latifa Ganzel

Mwanamke aliyejulikana kwa jina moja Hadija akiwa na watoto wake hao, kwa sasa yeye na watoto wake wamekuwa wakijishughulisha na biashara ya kokoto ili kupata kipato kutokana na shughuli za kilimo kusitishwa katika mabonde ya milima ya Matogori wilayani Songea, SOUWASA ndio imepiga marufuku kilimo cha mabondeni katika milima hicho kutokana na vyanzo vyake vya maji viko huko, na kwa kuwa kilimo cha mabondeni kinaathiri vyanzo ya maji.

Hali hiyo imesababisha wananchi wengi kukosa maeneo ya kulima na hivyo kuamua kujishughulisha na shughuli zingine kama ukataji mbao na uchimbaji kokoto kama anavyoonekana mama huyo akisubiri wateja baada ya kupasua kokoto zake.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *