Maji ya chanzo cha Lipasi yanayodaiwa kuwa na madini ya chuma, kama yanavyoonekana yanarangi ya kutu, chanzo cha Lipasi kipo katika milima ya Matogoro Songea manispaa ni miongoni mwa vyazno 9 vinavyotumiwa na SOUWASA kwaajili ya maji safi na taka katika manispaa hiyo, pia kinaingia katika mto Ruvu
Chanzo cha maji chenye madini ya chuma
1 Comment
Nchi hii imebarikiwa kwa utajiri lakini sisi ni masikini wakujitakia. tuchimbe hayo madini nondo zipungue bei ili tumudu kujenga magorofa.