Rushwa katika michezo, Wallah hakuna atakayepona!
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeamua kukunjua makucha yake…
Askofu Gaville: Katiba Mpya itafuta ufisadi na kuinua uchumi Tanzania
ASKOFU Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya…
Serikali yanyoosha makucha kwenye pembejeo, marufuku kuingiza mbolea zisizo na viwango
ZAMA za kuwepo kwa mbolea zisizo na viwango zinaweza kuwa historia ikiwa…
Hatimaye Simba yakwea pipa, yaitandika Mbao FC 2-1 fainali Kombe la Shirikisho
BAADA ya rufaa yake kutupwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA),…
Simba yagonga mwamba FIFA, Yanga yabaki na taji, Kagera na pointi zake
NDOTO za Simba kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ‘mezani’ zimegonga mwamba baada…
Vitendo visivyo vya kiungwana vyaiponza Yanga. Yaipigwa faini ya Shs. 5.5 milioni
KAMATI ya Saa 72 ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeilima faini…
Dhahabu: Acacia Mining walikuwa wapi kuhoji usawa wa mikataba?
JUMATANO, Mei 24, 2017 Rais Dkt. John Magufuli alimtaka Waziri wa Nishati…
Humphrey Polepole aache dharau kwa Watanzania
Humphrey Polepole, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Itikadi…
Dodoma: Serikali yakubali kukabiliwa na ukata, hali ni mbaya kiuchumi
Serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli imekiri kukabiliwa na ukosefu wa…