Latest ELIMU News
Lindi yaazimia mabadiliko ya ufaulu wanafunzi kwenye mitihani ya kitaifa
SERIKALI ya Mkoa wa Lindi ikishirikiana na wadau mbali mbali wa elimu…
Biharamulo: Wananchi wajiandaa kuandamana kwa Mkuu wa Wilaya kudai shule yao
BAADHI ya wananchi wa Kitongoji na Kijiji cha Busiri, Kata ya Nyakahura wilayani…
Elimu bure ‘yawahenyesha’ walimu Tarime, wakwama kufundisha
SHULE za msingi wilayani Tarime, zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu, kiasi…
Tarime: Utoro waathiri shule za msingi. Walimu, wanafunzi ‘washindana’ kuokota mawe ya dhahabu mgodini
UTORO limekuwa tatizo sugu na linaloonekana kudumu katika shule za msingi zilizopo…
Elimu Bure mkoani Rukwa: Shule saba zaandikisha watoto 5,300 darasa la kwanza na awali Nkasi
WATOTO wapatao 5,354 wameandikishwa darasa la kwanza na awali katika shule saba…
Mbagala, Dar: Mwalimu mmoja anafundisha watoto 666. Wazazi kuchangishana kuokoa jahazi
UHABA wa walimu wa masomo ya sayansi nchini umesababisha mwalimu mmoja wa…
Moshi: Uchangiaji wa fedha za chakula cha mchana shuleni si hiari – Mkurugenzi
TATIZO la baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi katika Manispaa ya…
Katavi: Wanafunzi wa madarasa mawili tofauti watumia chumba kimoja, ubao mmoja, wengine chini ya mti
WANAFUNZI wa madarasa mawili tofauti katika Shule ya Msingi Kawanzige katika Halmashauri…
Ukosefu wa chakula shuleni waathiri kiwango cha ufaulu mkoani Kilimanjaro
MATOKEO ya mtihani wa darasa la saba kitaifa mwaka 2016 yameupeleka Mkoa…