Latest Kilimo na Ufugaji News
Wakulima wa tumbaku hatarini kukosa soko, mahitaji ya zao hilo yapungua duniani
Mafanikio ya mkulima ni kupata soko la mazao ambalo litakuwa na bei…
Matabaka ya udongo yanavyoathiri mazao shambani
Udongo ni rasilimali muhimu inayotumiwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo ambacho kinategemewa…
Asilimia 80 ya ardhi ya umwagiliaji Tanzania inalimwa kwa njia za kienyeji, kilimo cha kisasa kumkomboa mkulima
Wakulima katika maeneo yanayopata mvua za msimu mara moja kwa mwaka wameshauriwa…
TAHADHARI: Mvua mikoa ya Pwani, Wakulima washauriwa kulima mazao yanayokomaa kwa muda mfupi
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) nchini imewashauri wananchi wa mikoa…
Elimu ya uhifadhi wa mazao kuihakikishia jamii usalama wa chakula
Imebainika kuwa sehemu kubwa ya mazao ya chakula yanayohifadhiwa katika maghala hupotea…
Kilimo cha kisasa cha kumkomboa mwanamke kiuchumi
Daniel Samson Nafasi ya mwanamke kukuza kilimo Tanzania Serikali ya Tanzania katika…
Faida za muhogo ni zaidi ya kuongeza ‘heshima ya ndoa’
FOLENI za Jiji la Dar es Salaam zimenifanya nijifunze mambo mengi sana…
Waziri Jaffo awaambia akinamama: Atakayekwamisha jitihada za kupambana na mazingira, njooni mnione
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani…
Serikali yanyoosha makucha kwenye pembejeo, marufuku kuingiza mbolea zisizo na viwango
ZAMA za kuwepo kwa mbolea zisizo na viwango zinaweza kuwa historia ikiwa…