Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012

Jamii Africa

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012.

Orodha ya wanafunzi hao hii hapa (Bonyeza link ku-download)

Kitabu cha Wasichana 2012- Shule Atokayo

Kitabu cha Wavulana1 2012- Shule Atokayo

8 Comments
  • Kwa wale mnaouliza maswali:

    Kupata majina yote ya waliochaguliwa DOWNLOAD attachments kwa kubonyeza links zilizowekwa (PDF):

    1. Kitabu cha Wasichana 2012- Shule Atokayo
    2. Kitabu cha Wavulana1 2012- Shule Atokayo

    Vitabu hivyo viwili ndivyo vina majina yenu. Kama hakuna jina lako usijitundike!

  • Naomba msaada jinsi ya kufungua hayo majina tofauti na PDF kwani natumia simu na simu yangu haifungui PDF na niko kijijini Nyathorogo. Msaada please!

  • Hi Hi
    I’m richard from kigoma want to know/see za names, or all results of selected student for high level education (v)

  • Please inform me how to notify the authority of students who will join the private school. So I can notify you immediately to avoid disturbance be caused.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *