Mbunge wa CCM Busega kuunganishwa kesi ya njama za mauaji ya aliyekuwa Mbunge?
HATIMAYE tuhuma nzito zinazomkabili Mbunge wa Jimbo la Busega Wilayani Magu mkoani Mwanza, Dk. Titus Kamani (CCM), za kula njama kutaka kumuua aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Dk. Raphael Chegeni…
Kikwete kuteua Tume ya Katiba Kabla ya Krismasi?
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuteua Tume ya kusimamia mchakato wa Katiba (Tume ya Katiba) ambayo itakusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba na hatimaye kuandika rasimu ya Katiba Mpya kabla rasimu…
Majambazi yateka Kisiwa, yapora mamilioni ya fedha
MATUKIO ya ujambazi wa kutumia silaha nzito za kivita, yameanza kurejea kwa kasi kubwa mkoani Mwanza, ambapo safari hii watu 12 wanaosadikiwa kuwa majambazi yamevamia na kuteka Kisiwa cha Kome…
CHADEMA yajiachilia mikononi mwa Serikali
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekubali kimsingi kuitegemea serikali ilete mabadiliko ya mswada wa Sheria ya kusimamia mchakato wa Katiba Mpya. Hii ni kufuatia mazungumzo ya siku mbili yaliyohusisha chama…
Kikwete akutana na Viongozi wa CHADEMA; Mazungumzo kuendelea J’tatu
Rais Kikwete ameanza mazungumzo na viongozi wa CDM kuhusu mustakabali wa mchakato wa kuelekea Katiba Mpya. Mkutano huo ambao uliombwa na viongozi wa CDM kufuatia mkutano wa Kamati Kuu Jumapili…
Kaya 200 zakosa makazi Musoma sababu ya mvua kubwa
MVUA kubwa iliyonyesha jana mjini Musoma mkoani Mara, imesababisha maafa makubwa, ambapo karibu kaya 200 hazina makazi yake, huku miundombinu ya barabara katika Manispaa hiyo ikiharibiwa vibaya; JF imethibitishiwa. Kutokana…
Tracing the footsteps of FRELIMO
IF you want the authenticity and uniqueness of history, especially the guerilla movements, then come to Congresso in Matchedje, in the Niassa Province, where the true history of the Liberation…
CHADEMA wakataa kushiriki mchakato wa Katiba; Waunda tume kukutana na Kikwete
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa hakitokuwa tayari kushiriki katika mjadala wa kukusanya maoni kuhusiana na Katiba Mpya chini ya Tume ya Rais endapo sheria iliyopitishwa na Bunge…
Makaa ya mawe yanakwenda wapi?
Hapa ni katika bandariĀ ya Ndumbi ziwa Nyasa mkoani Ruvuma. Hii ni meli ambayo kila wiki inasafirisha tani 600 za makaa ya mawe ambayo yanachimba katika eneo la Ngaka Luanda…