Prince Charles kutembelea Tanzania Nov 6
Mwana wa Malkia wa Uingereza – Prince Charles of Wales – anatarajiwa kutembelea Tanzania kuanzia Jumapili akitokea Afrika ya Kusini ambako ameanza ziara ya siku nane katika bara la Afrika.…
Jandu akamatwa na wahamiaji haramu 18; Kupandishwa kizimbani Alhamisi
Katika kile kinachoaminika kuwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Shamsi Vuai Nahonda la kuwataka maafisa uhamiaji kuonesha ndani ya wiki tatu wamefanya nini kudhibiti…
Sasa unaweza kutalii mikumi kwa miguu
HIFADHI zilizo nyingi za wanyamapori zilizopo hapa nchini watalii wanaruhusiwa kuangalia wanyama wakiwa ndani ya magari ya kubeba watalii kuhofia kushambuliwa na wanyama wakali kama simba,tembo faru au chui pamoja…
Shule hii imesahaulika
MPANGO wa kuboresha elimu bora kwa watanzania unaonekana kukabiliwa na changamoto nyingi katika baadhi ya maeneo yenye mazingira magumu kama hali ilivyo katika shule ya msingi Darpori iliyopo wilayani Mbinga…
Tanzania yatumia bilioni 61 kununua majengo Marekani; Nyumbani yadai haina fedha!
Wakati serikali ya Tanzania imekuwa katika hali ya ukata wa kifedha nchini na kusababisha baadhi ya miradi na malipo mbalimbali kushindwa kufanyika serikali hiyo hiyo imekamilisha ununuzi mwingine mkubwa wa…
Kilio cha msitu wa Kimboza kusikika Dar
WAKATI wananchi wa Dar es salaam wanaendelea kulalamika kuhusu upungufu mkubwa wa maji kwa matumizi ya binadamu na serikali ikinadi sera kwamba itawapatia wananchi maji ya kutosha ifikapo mwaka 2015…
Machinjio iliotumia sh milioni 25
Pichani ni jengo la machingio lililopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro ambalo limegharimu kiasi cha shilingi milioni 25, kabla ya kukabidhiwa limeshapata ufa kila kona, maajabu ya Kilosa hayo.
Mbinga wahofia kutoroshwa kwa madini
WANANCHI wa kijiji cha Liyombo kata ya Ruanda wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wameonyesha wasiwasi wao juu ya kudaiwa kutoroshwa kwa makaa ya mawe pamoja na ulipwaji wa fidia watakazo…
Upungufu wa vitabu mashuleni ni kero!
SHULE ya msingi Ihovyo iliyopo mwambao mwa ziwa Rukwa katika kata ya Totowe wilayani Chunya mkoani Mbeya inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vitabu hali inayosababisha walimu kushindwa kufundisha baadhi ya…