Uharamia kikwazo cha Maendeleo kwa wavuvi

UHARAMIA unaofanywa ndani ya Ziwa Tanganyika umekuwa ni kikwazo cha maendeleo kwa wavuvi na wamiliki wa mali za uvuvi katika Ziwa Tanganyika na kusababisha wavuvi watumie zana duni za uvuvi…

Editha Karlo

Mwalimu Nyerere, Tunakukumbuka!

Tunakukumbuka! Tunapoangalia hawa wanavyoshindwa kutujenga pamoja tunazidi kukumic! Fikra zako zitapitishwa toka kizazi hiki kwenda kingine; utu, usawa, umoja na mapenzi ya dhati kwa taifa letu. Kukataa dhulma, uonefu, unyonyaji…

Jamii Africa

Millya ‘amchana’ Ridhiwani Kikwete

RIDHIWANI Kikwete mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ametajwa kuingilia na kuamua kuendesha siasa za Mkoa wa Arusha kwa kutumia ‘rimote Control’ akiwa jijini Dar es Salaam. Katika mkutano wa leo…

Jamii Africa

TANESCO kuendelea kupinga tuzo ya DOWANS mahakamani?

LICHA ya kuwa hukumu iliyotolea na Mahakama Kuu katika kukamilisha kusikiliza upinzani dhidi ya kusajiliwa tuzo ya DOWANS ambayo ilitolewa na mahakama ya kimataifa ya biashara (ICC) ilikuwa wazi na…

Jamii Africa

CCM baada ya Igunga, kujivua gamba kutaendelea?

MTIHANI wa kihisia unaanza katika ngazi za juu za CCM kuhusu zoezi la ‘kujivua gamba’ ambalo mtihani wake wa kwanza (na labda wa mwisho) ulikuwa ni Igunga katika uchaguzi mdogo…

Jamii Africa

Steve Jobs wa Apple afariki dunia

Mmoja wa waanzilishi wa kampuni ya kompyuta ya Apple Bw. Steve Jobs (56) amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa ya iliyotolewa na kampuni ya Apple Inc., Jobs amefariki siku ya…

Jamii Africa

Dawa ya Depo Plovera yachangia uwezekano wa kuambukizwa HIV?

Matumizi ya njia za mpango wa uzazi zenye kubadilisha vihemuko (hormones) ambazo zimekuwa zikitumiwa na wanawake wengi katika maeneo ya Afrika chini ya Jangwa la Sahara zimeonekana kuonesha uwezekano wa…

Jamii Africa

Kwa hili Rostam hautasamehewa – Regia Mtema

Nimeamua kuandika habari hii baada ya kujishauri tangu nikiwa Igunga! Rostam Aziz amekuwa Mbunge wa Igunga tangu mwaka 1994 ambapo mpaka sasa ni takribani miaka 17 chini ya uongozi wake.…

Jamii Africa

Chakula kipo cha kutosha Rukwa – Stella Manyanya

MKUU mpya wa Mkoa wa Rukwa, Bi. Stella Manyanya, ametoa rai kwa mikoa yote yenye njaa nchini kwenda mkoani kwake kununua chakula kwani kipo tele. Bi. Manyanya amesema kwamba mkoa…

Jamii Africa