Igunga: Chadema, CCM na CUF washinda kwa hoja au tuhuma?
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CDM) kinaonekana kuwa ni mzigo mkubwa kwa Chama cha Mapinduzi huko Igunga kiasi kwamba madai mbalimbali yanayoelekezwa dhidi yake kuanza kuonekana ni ya vichekesho na…
Gari la kituo cha radio cha Rage laparamia watu Igunga
Siku chache baada ya Mbunge wa Tabora mjini Bw. Aden Rage kujikuta matatani na vyombo vya usalama nchini baada ya kupanda jukwaani akiwa na silaha ya bastola sakata jingine lenye…
Uchaguzi wa Igunga na juhudi za kukandamiza upigaji kura
Uchaguzi mdogo wa ubunge huko Igunga utaamuliwa kwa namba. Utaamuliwa kwa idadi ya watu watakaojitokeza kupiga kura na siyo watu wanaojitokeza leo hii kwenye mikutano ya kampeni. Utaamuliwa na watu…
Polisi yatakiwa kutenga fungu kuhudumia watuhumiwa wagonjwa
Jeshi la Polisi nchini limetakiwa kuweka utaratibu au kutenga fungu ambalo litatumiwa na jeshi hilo kwa ajili ya kuwahudumia watuhumiwa ambao wanaumizwa, kuugua au kupata matatizo ya kiafya wakiwa mikononi…
Soko laungua tena Mbeya, Waliounguliwa waporwa!
"Kweli utu umekwisha na kilichobakia sasa ni unyama. Tazama wanavyosomba vitu kwenye duka langu na kutokomea navyo. Nakimbiamoto, lakini watu hawa wanaojifanya wasamaria badala ya kunisaidia kunusuru mali yangu wao…
Uporaji wa ardhi wachangia njaa na umasikini
MWANAHARAKATI kutoka nchini Zimbabwe Magreth Dongo amesema umasikini na njaa vinavyochangiwa na uporaji wa ardhi ya wananchi vinaweza kuwafanya wananchi wakate tamaa na kulazimika kushinikiza serikali kurudisha ardhi yao. Akitoa…
Serikali yasitisha rasmi zoezi la utafutaji wa maiti Mv. Spice Islanders
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo imetoa tamko la kusitishwa rasmi kwa zoezi la utafutaji wa miili ya watu walionasa kwenye vyumba vya meli ya MV Spice Islander iliyozama eneo…
Miss Tanzania Yaomba Radhi janga la meli
Waandaji wa mashindano ya Ulimbwende ya Miss Tanzania yaliyofanyika siku ya Jumamosi tarehe 10 Septemba 2011 wametoa tamko la kuomba radhi kwa kuendelea na mashindano hayo wakati taifa lilikuwa limeingia…
Wazamiaji waanza kazi ya kutafuta miili iliyonasa kwenye meli Zanzibar
Wataalamu wa Uzamiaji kutoka nchini Afrika ya Kusini, leo wameanza zoezi la kutafuta miili ya watu waliokwama kwenye meli ya MV Spice Islander iliyozama kwenye eneo la Nungwi nje kidogo…