Profession’s rape amid Kilimo Kwanza
“LOOK! I have been telling you guys everyday to come early so that I could give you money. You are late and I have no money left on me. Your…
Pinda, Kubali kufa ili uione pepo
Namkumbuka mwanamuziki wa kizazi kipya Seleman Msindi maarufu kama Afande sele na kile kibao chake cha “Darubini kali” anapohoji “kama unapenda pepo kwanini uogope kifo?” Tungo hii kwa namna ya…
Libya’s NTC Flag removed at the Dar es Salaam Embassy
The Libyan Embassy in Dar es Salaam yesterday opted to comply with the 48 hours ultimatum given on 30 August, 2011 by the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation…
Godbless Lema ‘aichana’ Idara ya Usalama wa Taifa
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Godbless Lema CHADEMA) ameionya na kuitaka Idara ya Usalama wa Taifa nchini kujifunza kutoka kwa Kiongozi wa Libya Muammar Gadaffi. Mbali na kuinyoshea vidole Idara…
Mwandishi Raia Mwema, mke wake wanusurika kufa
MWAKILISHI na Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema mjini Arusha Paul Sarwat akiwa na mke wake wamenusurika kupoteza maisha baada ya gari yao aina ya Suzuki Vitara kugongwa…
Dola yambana Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi
MWANDISHI wa habari anayeandikia gazeti la Mwananchi kutokea Arusha, Mussa Juma, ameanza kuandamwa na serikali na sasa uraia wake umeanza kuhojiwa huku yeye akihusisha hatua hizo na msimamo wake katika…
Tripoli yaanguka; Mwisho wa Gaddafi?
Ndani ya masaa 72 Jiji la Tripoli nchini Libya limeanguka mikononi mwa waasi ambao walikuwa wanaendesha kampeni ya kumuondoa rais wa nchi hiyo Dikteta Muammar Gaddafi. Kuanguka kwa jiji la…
Polisi Kigoma yanasa 52, yumo mwizi wa vocha za simu za mamilioni ya shilingi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu 52 kwa tuhuma mbalimbali zikiwemo za ujambazi wa kutumia silaha na wizi wa vocha za simu za mkononi zenye thamani ya karibu shilingi…