Mlima Kilimanjaro wapata tuzo ya kivutio bora Afrika
Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017 na ushindi huo ni wa nne tangu mwaka 2013. Ushindi huo ulitangazwa katika hafla ya Tuzo ya Maeneo…
Tafiti, teknolojia kukuza biashara Afrika Mashariki
Nchi za Afrika Mashariki ni miongoni mwa nchi zenye gharama kubwa za uchukuzi na usafirishaji wa mizigo duniani. Gharama hizo kwa kiasi kikubwa zimepunguza ushindani wa bidhaa zinazosafirishwa kutoka maeneo…
TAMWA yaitaka jamii kumuondolea mtoto wa kike vikwazo ili asome
Jamii imetakiwa kumuondolea mtoto wa kike vikwazo na kumtengenezea mazingira rafiki na salama akiwa shuleni na nyumbani ili afikie ndoto zake za kielimu. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es…
Mambo ya kuzingatia kukabiliana na ‘TRAUMA’
Makala iliyopita tuliongelea dhana ya Trauma na dalili zake, leo tena tunaendelea kuangalia hali halisi ya trauma, athari na jinsi ya kukabiliana nayo. Kimsingi tatizo hili ni kubwa na hutokea…
Wanaharakati waitaka serikali kufuta adhabu ya kifo
Kituo cha Sheria na Haki za binadamu (LHRC) wameitaka serikali kuifanyia marekebisho Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya mwaka 2002 ambayo inatoa adhabu ya kifo kwa makosa ya mauaji, uhaini na…
TRAUMA: kidonda cha kisaikolojia kinachohatarisha maisha ya watu wengi
Tunaishi katika dunia ambayo inakabiliwa na matatizo mbalimbali ambayo husababishwa na shughuli za binadamu na nguvu za asili kama mafuriko, vimbunga, matetemeko chini ya ardhi ambayo huwa nje ya uwezo…
Mawaziri walioteuliwa: waapishwa, kuifikisha nchi kwenye uchumi wa viwanda
Muda mfupi baada ya kuapishwa katika nyadhifa zao, mawaziri wapya walioteuliwa na Rais John Magufuli waahidi kuwatumikia wananchi kuifikisha nchi kwenye uchumi wa viwanda. Mawaziri hao wameapisha leo Ikulu jijini…
Kufanya mazoezi kupita kawaida ni hatari kwa afya yako
Kuishi muda mrefu ni matamanio ya kila binadamu, kwa sababu kila aliyezaliwa ana kusudi la kutimiza kabla ya kuondoka duniani. Mazoezi ya mwili na ulaji wa chakula bora yanatajwa kuwa…
Tuwalinde watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia unaotokea shuleni
Ukatili wa kijinsia ni matendo yote yanayolenga kuvunja haki za binadamu ikiwemo kudhalilisha utu wa mtu. Ukatili huo hutokea kwa wanawake na wanaume lakini wanaoathirika zaidi ni wanawake, hii ni…