Kesi namba 456 inayowakabili Wakurugenzi wa JamiiForums kuendelea kuunguruma Kisutu leo

KESI namba 456 inayowakabili wakurugenzi wa kampuni ya Jamii Media inayomilikia gazeti tando la FikraPevu na mtandao maarufu wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike Mushi, inatarajiwa kuendelea tena leo katika…

Jamii Africa

CHADEMA, Busara itawale uteuzi wagombea ubunge Afrika Mashariki

LEO  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitafanya uamuzi wa kuwapata wagombea wake kwa nafasi zake mbili za wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki (EALA). Kamati Kuu inayokutana Zanzibar…

Elias Mhegera

Ugonjwa wa ‘presha’ kitanzi kipya kwa wazee, serikali ichukue hatua haraka

UGONJWA wa shinikizo la damu, maarufu kwa jina la 'presha,' unatajwa kuwa kitanzi kipya katika maisha ya wazee Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. “Ugonjwa huu unaua!” Wataalamu wa masuala…

Jamii Africa

Geita: Nanasi kugeuka dhahabu nyingine. Kilimo chake chachangamkiwa

MKOA wa Geita ni maarufu kwa utajiri wa madini ya dhahabu iliyotapakaa katika eneo mbalimbali mkoani humo, hasa maeneo maarufu la Nyarugusu. Katika miaka ya themanini na mwishoni mwa tisini,…

Jamii Africa

Watetezi uhai wafanya kampeni kupinga muswada Afrika Mashariki

MASHIRIKIA ya kutetea uhai, PROLIFE- Tanzania na Human Life International (HLI) Tanzania, yanaendesha kampeni kupinga muswada ulioandaliwa na Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kuhusu afya ya uzazi na masuala ya…

Jamii Africa

Muhogo: Zao linabebeshwa janga la njaa. Linakosa soko licha ya kuwa na utajiri

WATANZANIA wengi wameaminishwa kuwa zao la muhogo ni muhimu sana wakati wa njaa. Wanaofanya kazi hiyo ni, kwa kiasi kikubwa ni wanasiasa na viongozi wa dini. Hawa hujitokeza mara nyingi,…

Jamii Africa

Ludewa: Karaha ya kwenda Mchuchuma na utajiri wa makaa ya mawe

MIAKA 21 iliyopita wakati Mbunge wa Ludewa wakati huo, Horace Kolimba, alipokuwa akipigia debe kuhusu makaa ya mawe Mchuchuma, hakuna aliyekuwa analifahamu eneo hilo isipokuwa wale tu kutoka Mkoa wa…

Jamii Africa

Moshi Vijijini: Wananchi wagomea mradi wa maji. Harufu ya ufisadi yanukia

DHANA kwamba Watanzania wengi ni watu wanaoumia “kimoyomoyo” hata kama wanaumizwa, imeanza kutoweka. Idadi yao kubwa; wale walioko vijijini na mijini, wasomi na wale walioshindwa “kukanyaga” madarasa, wameanza “kufunguka.” Hawadanganyiki…

Jamii Africa

Iringa: Bei hafifu za nyanya zaendelea kuwatia umaskini wakulima

LICHA ya kuwepo kwa viwanda vitatu vya kusindika bidhaa zitokanazo na zao la nyanya mkoani Iringa, wakulima wa mkoa huo bado wanaendelea kutaabika na uhaba wa soko hali inayozidi kuwatia…

Jamii Africa