Ruvuma: Samaki, dagaa wa Ziwa Nyasa sasa hawakamatiki sokoni

SAMAKI na dagaa kutoka Ziwa Nyasa wameadimika. Kuwala imekua kama anasa, kwani, licha kutopatikana kirahisi, wamekuwa bei aghali. Inashangaza kwamba bei ya mazao hayo ya Ziwa Nyasa, “haishikiki” hata wanapouzwa…

Jamii Africa

Miundombinu: Unataka kwenda Nyasa, unaweza kuogelea tope?

UNAWEZA ukawa mwendo wa saa 3 na dakika 39 tu kwa gari ndogo kutoka Songea hadi Mbamba Bay kwenye makao makuu ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambako ni umbali…

Jamii Africa

Rais Magufuli anastahili pongezi, na kuungwa mkono

Katika moja ya mambo ambayo huwa najiuliza na nashindwa kupata majibu kuhusu sisi watanzania ni kuwa, kama leo akija mgeni na kutuliza swali, tunataka kiongozi wa aina gani? Inawezekana tukashindwa…

Fadhili Mpunji

Walimu wazuri wanavyozibeba shule za msingi binafsi

*Lakini zipo baadhi hazina walimu wenye sifa kufundisha watoto Dar es Salaam. Mwalimu ni mtu muhimu katika kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa yaliyokusudiwa akiwa darasani.  Japo mwanafunzi anatakiwa kusoma kwa bidii…

Jamii Africa

Iringa: Umwagiliaji wa matone wawanufaisha wakulima Tanangozi

MIAKA mitatu iliyopita, hali ya uchumi ya Nobert Rajab Kikoti (61) ilikuwa ya kawaida kama walivyo wakulima wengi wa kijijini kwake Tanangozi mkoani Iringa. Hii ni kwa sababu alikuwa akifuata…

Jamii Africa

Ngara: Ukosefu wa maji wasababisha wanafunzi kukosa masomo

WANAFUNZI wa shule za sekondari Wilaya ya Ngara, Kagera wanakosa masomo kwa kuwa “wanapoteza” muda mwingi wakisaka maji kwa ajili  ya matumizi. Hali hiyo inatokana na kutokuwepo mwa maji maeneo…

Jamii Africa

Morogoro: Dawa hazitoshi, miundombinu ya afya mibovu

UKOSEFU wa zahanati na vituo vya afya katika maeneo ya pembezoni nchini Tanzania unachangia wananchi wengi kukosa huduma za afya kwa wakati. Uchunguzi ulifanywa na FikraPevu umebaini kuwa hata pale penye…

Jamii Africa

Wabunge wasiyakimbie majimbo yao. Kwenye kampeni mpaka wanapiga magoti

UMEPITA mwaka mmoja na miezi mitatu tangu tumefanya uchaguzi mkuu na sasa tumesalia na miaka mitatu na miezi saba mpaka uchaguzi mwingine mwaka 2020. Wakati wa kampeni za mwaka 2015…

Jamii Africa

Mtwara: Viongozi wa vijiji watengwa katika usimamizi wa elimu

VIONGOZI wa ngazi za mitaa na vijiji mkoani Mtwara wamedai kutengwa na kutoshirikishwa katika masuala mbalimbali ya elimu, hali inayodaiwa kusababisha ongezeko la utoro na kuporomoka kwa elimu. Wakizungumza na…

Jamii Africa