Hatari: Hivi VVU/UKIMWI sasa vimezoeleka kama homa ya mafua tu?

MIAKA kadhaa iliyopita kulikuwa na matangazo mengi kuhusu ugonjwa wa Ukimwi kwenye vyombo mbalimbali vya habari; redio na magazeti. Watu wengi walielimika kupitia vyombo hivyo na hakika uelewa wa namna…

Jamii Africa

Mchakamchaka wa Polisi, Askofu Gwajima waendelea. Akamatwa tena, ahojiwa na kuachiwa

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameendelea kusakamwa na Jeshi la Polisi. Katika mazingira yanayoashiria kutokamilika kwa jitihada za kumfungulia mashitaka Askofu Gwajima, Polisi walimkamata jana na…

Jamii Africa

Ukame, lishe duni kuongeza udumavu kwa watoto Tanzania

MAENDELEO mazuri ya kukua na kuongezeka kwa urefu na uzito, ni muhimu kwa afya ya mtoto. Lakini kwa mtoto Emmanuel John, mwenye umri wa miaka 2 ni tofauti; ngozi yake…

Jamii Africa

Walimu shule za msingi Dar es Salaam wahemewa vipindi darasani

WALIMU wengi wa shule za msingi Dar es Salaam, wanahemewa kwa wingi wa vipindi wanavyofundisha madarasani. Uchunguzi uliofanywa na FikraPevu kwa zaidi ya wiki mbili umebaini kuwa katika shule nyingi…

Jamii Africa

Ripoti Maalum: Tanzania ya ‘Magufuli wa viwanda’ yawapiga kisogo Wakulima wa Korosho

USULI: Gazeti tando la FikraPevu limefanikiwa kupata ushahidi unaoonyesha kwamba, pamoja na nia njema ya serikali ya awamu ya tano katika kuijenga “Tanzania ya viwanda,” bado dhamira hiyo inabaki katika…

Jamii Africa

Sababu za kuongezeka kwa uzazi kwa njia ya upasuaji zazua hofu nchini

“KUANZIA sasa nitakuwa najifungua kwa njia ya ‘operesheni’ tu, nimeteseka vya kutosha na nisingependa kurudia mateso yale,” anasema Martha (siyo jina lake halisi), mama wa mtoto mmoja. Anajutia mateso aliyoyapata…

Jamii Africa

Kuhimiza sayansi sawa, lakini tunakosea tunapohimiza sayansi na kusahau michezo

MNAMO mwezi Agosti 2016, Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako, alitoa tamko kuwa kila mwanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne lazima asome masomo ya sayansi. Kauli…

Jamii Africa

Majanga tena: Tumejiandaaje kukabiliana na kipindupindu jijini Dar es Salaam?

HIVI karibuni, mtu mmoja Ramadhan Kiumbo ‘Popo’, mkazi wa Kibada wilayani Kigamboni aliripotiwa kufariki dunia na wengine 12 kulazwa hospitalini kutokana na ugonjwa wa kipindupindu. Marehemu alifariki dunia wakati akipatiwa…

Jamii Africa

Elimu Bure: Wanafunzi wajisaidia vichakani, wasomea chini ya miti Muleba

DHANA ya ‘Elimu Bure’ kwa kila mtoto wa Tanzania imeshindwa kuendana na uboreshaji wa miundombinu ya kufundishia na kujifunzia ambapo wanafunzi wa shule za msingi Kasindaga na Mshanje wilayani Muleba…

Jamii Africa