Uhaba watendaji wa afya, uzembe vyachangia vifo kwa wagonjwa

KUNA Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kuna hospitali kubwa binafsi na zenye vifaa vingi vya kisasa vya tiba. Kuna miundombinu bora. Kuna wataalamu mabingwa waliobobea kwenye sekta ya afya, lakini bado…

Jamii Africa

Ubadhilifu fedha vyama vya ushirika kumechochea umaskini Lindi, Mtwara

KILIMO ndio uti wa mgongo wa Tanzania na takriban asilimia 80 ya Watanzania wanategemea sekta hiyo ikiwa ni shughuli yao kuu ya uchumi. Kwa muktadha huo, kilimo ndiyo sekta kubwa…

Jamii Africa

Kuhamia Dodoma: Shs. 2 trilioni zinatoka katika bajeti gani?

ZOEZI la serikali kuhamia Dodoma linaonekana kusuasua tofauti na lilivyoanza licha ya makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu wa wizara mbalimbali kuwa katika harakati za kuhamia Dodoma kabla ya Februari…

Jamii Africa

Bunge kulipuka: Muswada mpya wa Afya wazua mkanganyiko

MUSWADA mpya wa Sheria ya Afya unaotarajiwa kuwasilishwa Bungeni wiki ijayo umezua kizaazaa baada ya serikali kugomea mapendekezo yote ya wadau yaliyotolewa wiki iliyopita katika Kamati ya Kudumu ya Huduma…

Jamii Africa

Shule ina mwalimu mmoja na wanafunzi 195, akisafiri inafungwa

Shule ya Msingi Ndonga wilayani Nyasa JANUARI 9, 2017 wanafunzi 195 wa Shule ya Msingi Matarawe katika Kijiji cha Marungu, Tarafa ya Mpepo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani…

Jamii Africa

Many challenges still face agricultural sector in Tanzania

Despite Tanzania’s vision on agricultural self reliance, the sector which accounts for more than 30% of the GDP and employs about 67% of labor force, still faces significant challenges, FikraPevu…

Jamii Africa

Ubora wa mazao utasaidia wakulima kuuza nje ya nchi

TANZANIA imejaliwa ardhi nzuri yenye rutuba inayokuza mamia ya aina mbalimbali za nafaka, matunda, mbogamboga, viungo vya vyakula na mazao mengine ya biashara. FikraPevu inatambua kwamba, asilimia kubwa ya wakulima…

Jamii Africa

Elimu Bure: Nkasi yaandikisha watoto 20,000, yahitaji vyumba vipya 1,192

Wanafunzi wa shule ya msingi Misunkumilo wilayani Nkasi wakisoma kwenye darasa lililoezekwa kwa turubai. (Picha kwa hisani ya HakiElimu).   WAKATI jumla ya watoto 20,000 wameandikishwa katika darasa la awali…

Jamii Africa

Yabainika: Wanaume walaji nyama jijini Dar hatarini kufa mapema

JIJI la Dar es Salaam linalokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi wanaokaribia milioni sita kwa sasa na linaongoza kwa watu wake kula nyama. Linaongoza kwa kula nyama ya ng’ombe na hata wanyama…

Jamii Africa