Wapuuza thamani ya kondomu, waivaa mikononi

KONDOMU ya kike ni kifuko cha plastiki kinachovaliwa na mwanawake katika sehemu zake za siri (ukeni), lengo likiwa ni kukabiliana na magonjwa yanayotoakana na vitendo vya ngono. Kifuko hicho pia…

Mwitongo kitovu cha utalii kinachohitaji kuwekwa sawa

Pamoja na kuwepo kwa mbuga ya wanyama ya Serengeti iliyoko Mkoa wa Mara na vivutio vingine kuna baadhi ya vivutio ambavyo havitambuliwi kitaifa ambavyo vinaweza kukuza utalii wa ndani katika…

Eva-Sweet Musiba

CDA yajieleza viwanja vya Dodoma

CHANGAMOTO kubwa ya upatikanaji wa viwanja ni miongoni mwa masuala yanayowasibu wakazi wa Dodoma. Hali hiyo imepelekea malalamiko mengi miongoni mwa wananchi huku Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) ikitupiwa…

Sifa Lubasi

Maangamizi ya samaki asili Ziwa Viktoria

Furu  samaki ambao kwa sasa ninaweza kukueleza tu kwa wajihi wake kama nilivyosimuliwa, akiwa na ukubwa wa kati ya  dagaa na sato wadogo, wamebaki kuwa historia kutokana na kazi ya…

Eva-Sweet Musiba

Wananchi wanapotaka waganga watatue shida zao

MWAKA jana Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa alikumbwa na zomeazomea ya wananchi wa Wilaya hiyo baada ya kupiga marufuku waganga wa kutoa uchawi kufanya kazi zao ndani ya…

Sifa Lubasi

Iringa yenye masoko yenye thamani yasiyotumika

KUWAPO kwa  masoko yasiyotumika katika Halmashauri ya Iringa  na  Manispaa ya  Iringa, pamoja na kujengwa kwa thamani kubwa ni ishara ya wazi kwamba yalijengwa kinyume na kipaumbele  halisi cha wananchi…

Francis Godwin

Mtoto Kudra mfano wa watumia gundi kama kilevi mtaani

MAISHA ni mtihani ambao unatakiwa kufaulu ndipo usonge mbele. Unapokutana na Kudra Majuto(20), katika mitaa mbalimbali ya Mji wa Dodoma kama mzazi lazima utakuwa na kuhoji kama si kwa sauti…

Sifa Lubasi

Dhiki ya kunyimwa umiliki wa ardhi miongoni mwa mabinti wa kihehe

Kwa desturi ya kabila la wahehe mtoto wa kike tangu anapozaliwa anahesabiwa kuwa ni mpita njia katika familia yake (kwamba ni lazima ataolewa hapo baadae)  na atakwenda kuendeleza ukoo mwingine…

Mwaisumbe Tukuswiga

Umri mzuri kwa mwanamke kupata mtoto (kuzaa)

Tamaa ya kutaka kufanikiwa maishani imeenea duniani kote. Hali imebadilika sana, jinsia ya kike inataka kujitosheleza kwa kila kitu. Lakini mabadiliko ya kibaiolojia yanabaki vile vile mfano kuzeeka nk. Mafanikio…

Dr. Joachim Mabula