Mwekezaji atoweka na kuacha shimo, hema
TAKRIBAN miaka mitatu imepita tangu kampuni ya Kastan iliyotaka kuchimba dhahabu katika kijiji cha Sambaru, wilayani Ikungu, mkoa wa Singida, ilipoondoka bila kuaga.
KENYA: Odinga apinga rasmi ushindi wa Kenyatta
Arusha, Machi 17,2013 (EANA) – Mshindi wa kiti cha uraisi katika uchauguzi mkuu wa Kenya kupitia muungano wa Jubilee, Uhuru Kenyatta amepingwa rasmi jana Jumamosi mbele ya Mahakama ya Juu…
Umbali wa kuzifikia huduma za afya, kitendawili kwa wajawazito Butiama
Imeelezwa kwamba baadhi ya akina mama wa wilaya ya Butiama, wanajifungulia nyumbani kutokana na umbali wa upatikanaji wa huduma za afya.
‘Birthday’ zatumika kukeketa wasichana mkoani Mara
Baada ya serikali kuonekana kuzuia na kukataza mila ya baadhi ya makabila hapa nchini kuwakeketa wasichana, mkoani Mara baadhi ya makabila yanayokeketa yamebuni mbinu mpya, imebainika.
Rorya: Wazazi walazimika kubeba kondo la uzazi
Katika hali isiyo ya kawaida akinamama wanaoenda kujifungua katika kituo cha afya cha Kinesi, kilichopo kata ya Nyamunga wilaya ya Rorya mkoani Mara , wanafungiwa kondo la uzazi na kwenda…
Wakunga wa jadi nusura ya wajawazito Bunda
HATIMA ya wajawazito wilayani Bunda mkoani Mara ipo mikononi mwa wakunga wa jadi na kujifungulia nyumbani bila msaada wa wataalam. Wilaya hiyo ina upungufu wa asilimia 42 ya watumishi wa…
Elimu ya Tanzania, baaaado!
Shule ya msingi ya Kinyambwiga iliyopo kata ya Guta wilayani Bunda, inakabiliwa na uhaba wa madarasa na madawati hali inayowapa wakati mgumu walimu na wanafunzi wa shule hiyo.
Wanafunzi 5,157 wafukuzwa shule kwa ujauzito
WANAFUNZI 5,157 wa sekondari wamefukuzwa shule mwaka 2011 kutokana na kugundulika kupata ujauzito.
Kutoka Guta mpaka Nyabehu, Bunda…
Mimi na waandishi wenzangu, tulitembelea katika kijiji cha Guta, Kinyambwiga na Nyabehu, vijiji vinavyopatikana katika kata ya Guta wilaya ya Bunda mkoani Mara.