Traffic Police akichapana makonde na dereva wa basi

Mariam Mkumbaru

Hekaheka kati ya Trafiki na dereva wa basi wakichapana makonde baada ya dereva wa basi hilo kutaka kufunga gurudumu ambalo Trafiki huyo aliikataa kwa madai ni chakavu.

Dereva alipoamua kufunga gurudumu hilo chakavua, Trafiki huyo alimkamata kinguvu huku akimlazimisha kwenda kituo cha Polisi Muhoro.

Tukio hilo limetokea katika barabara ya Kilwa Kijiji cha Muhoro Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani, Trafiki huyo alitambulika kwa jina la Omari na dereva anaitwa Calvin. Dereva huyo alifunguliwa kesi tatu za kubambikiwa ya kwanza kutotii amri ya polisi ya pili kumpiga polisi na kumchania nguo polisi.

Video hapa chini niliipata japo kwa shida (inatikisika)

3 Comments
  • Police sometime anatakiwa aaply zile sheria na tartibu za semina ili kumkabiri mtu mkolofi kama huyo pasipo kushikana.

     

  • some times  tanzanian  police  wanauzi sana wanadhani wao awako juu ya sheria

     

  • viongozi wao  nao  wana changia kuintatein uzembe  kwa kuwa kingia kifua kwa kufungua kesi za ovyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *