Month: February 2013

Mererani yakumbwa na tatizo la ukosefu wa maji!

Mji mdogo wa Mererani unakabiliwa na tatizo la maji safi na salama…

Belinda Habibu

Huduma ya simu bure kwa wahudumu wa afya na madaktari nchini itawafikia walengwa vijijini?

Mawasiliano ya simu ni njia moja wapo ya kupunguza vifo vya wajawazito…

Mariam Mkumbaru

Bajaj za Kikwete na changamoto ya Usafiri kwa Wajawazito vijijini

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010, Rais Jakaya Kikwete aliahidi…

Frank Leonard

Kuongezeka kwa Majengo katika Shule ya Msingi Endiamtu na changamoto ya matumizi ya vitabu

Majengo matano yamejengwa kwa wakati mmoja, kwa nguvu za wananchi wakishirikiana na…

Belinda Habibu

Shinyanga: Mgodi wafungwa kwa Uharibifu wa Mazingira

Mkuu wa mkoa wa shinyanga Bwana Ally Rufunga ameufunga mgodi wa dhahabu…

David Azaria

Songea: Wajawazito walalamikia kutozwa fedha kwenye vituo vya afya

Wakati Sera ya afya na ustawi wa jamii ya mwaka 2007 inasema,…

Mariam Mkumbaru

Vifo vya wajawazito Tanzania sawa na ajali tano za ndege za abiria kila siku

VIFO vya wanawake wajawazito vinavyotokea kwa mwaka nchini, ni sawa na ajali…

Gordon Kalulunga

Uhaba wa waganga na manesi Nachingwea

"Nimeanza kazi ya kutibia wagonjwa mbalimbali katika zahanati ya Kiegei mwaka 2004,…

Mariam Mkumbaru

Kufutwa kwa POAC: Anna Makinda adhibitiwe au tusahau Uwajibikaji nchini

Katika mkutano wa Kumi wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano…

Zitto Kabwe