Walinzi walalamikia kuingizwa mjini fedha zao

Latifa Ganzel

Huyu ni Poliphilio Komba muhudumu  wa vyanzo vya maji  vya Ruvuma na Lipasi katika milima ya Matogoro mkoani Songea.  ni vyanzo vya maji vya mamlaka ya maji safi na taka SOUWASA inayohudumia watu zaidi ya 90,000 katika manispaa  Songea, na pia ni vyanzo vikuu vya mto Ruvuma ambao unatiririsha maji yake katika baharai ya Hindi Mtwara Tanznaia, pamoja na mamlaka hiyo kuajiri walinzi katika vyanzo hivyo kwa lengo la kulinda wenyewe rasilimali hiyo lakini kunamadai kuwa fedha zinazotolewa na mamlaka hiyo haziwafikii walengwa hao kama ilivyopangwa hali inayofanya kushindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi na hivyo kupekelea vyanzo hivyo kuharibiwa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *