Mkenda: Daraja lenye maajabu

Albano Midelo

Pichani ni daraja maarufu ambalo limejengwa katika mto Ruvuma ambao unatenganisha nchi ya Tanzania na Msumbiji. Daraja hili lililojengwa katika kijiji cha Mkenda wilayani Songea mkoani Ruvuma ni kivutio pia cha utalii kutokana na na namna linavyovutia na kunesa unapopita juu yake. Daraja lipo umbali wa kilometa 124 kutoka Songea mjini.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *