Asilimia 40 ya vyanzo maji vimeharibika, serikali kuvuna maji ya mvua kukidhi mahitaji ya wananchi
Kutokana na ukuaji wa miji na viwanda, mahitaji ya maji nchini yameongezeka…
Umoja wa Ulaya waitaka Tanzania ijitathmini mapambano dhidi ya Rushwa
Yasema dawa ya rushwa ni uwazi na uwajibikaji Kuzijengea uwezo Asasi ya…
Ujenzi wa hosteli shule ya Nandembo kuwalinda wasichana dhidi ya ‘mafataki’
Umbali kutoka shule na mazingira wanayoishi wanafunzi una nafasi kubwa ya kuathiri…
UTAFITI: Wagonjwa watoa fedha, vitu kwa daktari ili wapate upendeleo
Licha ya serikali kuboresha miundombinu ya sekta ya afya, bado vituo vingi…
Wakulima wa tumbaku hatarini kukosa soko, mahitaji ya zao hilo yapungua duniani
Mafanikio ya mkulima ni kupata soko la mazao ambalo litakuwa na bei…
Sauti za Wananchi: Rushwa yatawala kazini, ushindani waongezeka sekta ya ajira
Licha ya maoni ya wananchi wengi kuonyesha vitendo vya kutoa na kupokea…
Maji ya mto Songwe kuzalisha umeme wa megawati 180.2
Wakati Tanzania ikitajwa kuwa miongoni mwa nchi duniani zenye mahitaji makubwa ya…
CCM yajibu mapigo, yamng’oa kigogo CHADEMA
Siku chache baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumpa uanachama…
Wananchi Tunduru watozwa sh. 50 kugharamia ujenzi wa vyoo shuleni
Mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia katika shule ni kichocheo kwa wanafunzi…