Sakata la kutelekeza watoto Dar lachukua sura mpya. Viongozi wa dini, wabunge watajwa
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kuunga mkono kampeni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasaidia wanawake wenye watoto ‘waliotelekezwa’ na waume zao.…
Jinsi ya kuondoa kutu kwenye vyuma
Kutu ni moja ya tishio linalosababisha vifaa na mashine zenye asili ya chuma kushindwa kufanya kazi yake na hata kufa kabisa. Kama ilivyo kwa magonjwa ya kuambukiza, kutu husambaa kidogo…
MMEM: Wanafunzi wanawajibika kushiriki katika utawala wa shule
Kuna mtazamo wa baadhi ya watu kuwa mtoto yeyote ambaye anasoma hajakomaa kiakili kiasi cha kuweza kuhusishwa kufanya maamuzi muhimu katika shughuli za familia na jamii. Dhana hiyo inajikita zaidi…
Kanuni mpya za Madini kushusha uzalishaji wa dhahabu hadi 0% ifikapo 2027
Kuanza kutumika kwa sheria Mpya za madini, kanuni na ukaguzi wa kampuni za madini kunatajwa kupunguza uzalishaji wa madini ya dhahabu na uwekezaji nchini. Kwa mujibu wa shirika la utafiti…
Fahamu njia 5 za kukusaidia kukumbuka kila kitu ulichosoma
Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David Bowie msanii ajulikanaye kama…
Ni wakati sahihi kwa Tanzania kutumia roboti kwenye matibabu ya binadamu?
Licha ya kuimarika kwa huduma za afya nchini China bado wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali nyingi wanalazimika kukaa kwenye foleni kwa dakika kadhaa kabla ya kumuona daktari na kupata matibabu.…
SHEIKH ABEID AMANI KARUME: Mwanapinduzi aliyeibukia kwenye ubaharia
April 7 ya kila mwaka ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905 na kufariki 7 Aprili 1972. Hayati…
Kwanini kuna mawe madogo madogo kwenye reli?
Kusafiri ndani ya treni (garimoshi) kuna upekee wake. Unashuhudia mandhari nzuri ya uoto wa asili, uwanda mpana wa ardhi usio na mwisho, miji mbalimbali yenye kila aina ya watu. Kitu…
Serikali kutoa chanjo kuwakinga wasichana dhidi ya saratani ya kizazi
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kila mwaka Tanzania inakadiriwa kuwa na wagonjwa wapya wa Saratani 50,000 huku Saratani ya mlango wa…