Je, Talaka ni Suluhisho la matatizo ya Ndoa? – Sehemu ya Pili

Katika sehemu ya kwanza, nilikuacha msomaji na maswali kadhaa kuhusu nini kinaweza kufanyika pale mwenza wa ndoa anapofungwa. Sheria ya Ndoa ya 1971 inatamka wazi katika kifungu cha 67 kwamba…

Jamii Africa

Kamati ya Ulinzi na Usalama Mwanza yawahoji vigogo wa Misungwi tuhuma za ufisadi

SIKU chache baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Mkoani Mwanza, kuanza kuwahoji baadhi ya vigogo wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Mkoani hapa, kwa tuhuma…

Jamii Africa

Je, Talaka ni Suluhisho la matatizo ya Ndoa? – Sehemu ya Kwanza

Tanzania huwezi kudai talaka bila sababu za msingi kisheria. Wapo wanandoa ambao kabla ya kudai talaka  hujaribu  kutafuta  njia mbalimbali za kupata suluhu kwa mfano, kutafuta ushauri nasaha (marriage counseling),…

Jamii Africa

CLIMATE OUTLOOK FOR TANZANIA MARCH – MAY, 2012 RAINFALL SEASON

CLIMATE OUTLOOK FOR TANZANIA MARCH – MAY, 2012 RAINFALL SEASON This statement gives a review of the performance of the October to December (OND), 2011 short rainfall season , the…

Jamii Africa

MWELEKEO WA MVUA ZA MACHI HADI MEI (MASIKA) 2012 NCHINI TANZANIA

MWELEKEO WA MVUA ZA MACHI HADI MEI (MASIKA) 2012 NCHINI TANZANIA Taarifa hii inatoa tathimini ya msimu wa mvua za Vuli kwa miezi ya Oktoba hadi Disemba 2012, mvua zinazoendelea…

Jamii Africa

Fighting in Somalia, Puntland radio station closed, director held

New York, March 5, 2012--Authorities in the semi-autonomous region of Puntland in Somalia shut down an independent radio broadcaster and arrested the station's director over coverage of fighting between the…

Jamii Africa

Kilio cha msitu wa Kimboza kusikika Dar

WAKATI wananchi wa Dar es salaam wanaendelea kulalamika kuhusu upungufu mkubwa wa maji kwa matumizi ya binadamu na serikali ikinadi sera kwamba itawapatia wananchi maji ya kutosha ifikapo mwaka 2015…

Latifa Ganzel

MKENDA kitongoji cha kihistoria

HUWEZI kuzungumzia historia ya Uhuru wa  Msumbiji pasipo kutaja eneo la Mkenda   lililopo Kijiji cha Nakawale Kata ya Muhukuru mkoani Ruvuma. Eneo hilo lililopo kiasi cha  kilometa  124 kutoka Songea mjini …

Latifa Ganzel

Mwalimu aliyebadili maisha kwa kilimo

AMESIMAMA mbele ya majengo yake na anaonesha hali ya kuridhika na maendeleo anayofanya katika ujenzi wa hoteli ya kisasa kijijini kwake. Hoteli hiyo itaongeza kipato chake maradufu. Huu si mradi…

Latifa Ganzel