Mwekezaji Songea apora ekari 5,000 za wananchi
WAKAZI wa kijiji cha Lipokela wilayani Songea mkoani Ruvuma wanamuomba waziri wa ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka kuwasaidia kuirejea ardhi yao yenye ukubwa wa zaidi ya hekari…
Uchafuzi wa mto Ruvuma na athari za kimazingira
Picha inawaonesha wananchi wa kijiji cha Liganga wilayani Songea mkoani Ruvuma ambao hutumia maji ya mto Ruvuma kwa kunywa, kuoga, kufulia, kumwagilia katika bustani na kuvua samaki wanaopatikana kwenye mto…
Shule ya msingi Darpori: Kitabu kimoja, darasa zima
ELIMU bora kwa watanzania wote wa mjini na wale wanaoishi katika mazingira magumu hapa nchini ni moja ya malengo ya millennia ya serikali ya chama tawala ndiyo maana ulianzishwa mpango…
Jinsi Wakili Mwalle alivyohamisha mabilioni
HATIMAYE imebainika jinsi Wakili maarufu mjini hapa Mediaum Mwalle alivyokuwa akihamisha mabilioni kwenye akaunti mbalimbali zinazodaiwa kufikia Sh. Bilioni 18. Kupitia hati ya Mashitaka alityosomewa jana hospitalini hapo na Mwendesha…
KAGERA: Mzaha wa Serikali kwa wananchi wa Missenyi
MISSENYI ni kati ya wilaya nane za mkoa wa Kagera yenye ranchi mbili za taifa na sehemu imebinafsishwa kwa wawekezaji. Ni wilaya mpya iliyoanzishwa Julai 2007 ambayo asilimia 59 ya…
CHADEMA ‘wauteka’ mji wa Arusha!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho. Ikumbukwe kuwa jana…
Wakili Medium Mwalle alazwa Mount Meru
WAKILI maarufu Medium Mwalle anayetuhumiwa za kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kwenye akaunti zake na kisha kupandishwa kizimbani amelazwa kwenye Hospital ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru akidaiwa…
Wakili Medium Mwalle asomewa mashitaka 13
WAKILI Maarufu jijini Arusha Medium Mwalle amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kusomewa mashitaka 13 yanayodaiwa kumkabili likiwamo la kukutwa na kiasi kikubwa cha fedha kwenye kaunti…
Mzimu wa Richmond waendelea kuliumiza taifa
KASHFA ya Richmond-Dowans haionyeshi dalili zozote za kumalizika wakati kampuni ya kimarekani (Symbion Power) imeanza kuzalisha umeme. Sehemu kubwa ya Tanzania inajitahidi kukabiliana na mgawo wa umeme unaochukua hata saa…