Sababu za Nyalandu kuondoka CCM zatajwa

Mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya umetajwa kuwa sababu iliyomsukuma Mbunge wa Singida Kaskizini, Lazaro Nyalandu kujivua wadhifa wa ubunge na kuondoka CCM, Fikra Pevu imeelezwa. Nyalandu ambaye alishiriki katika…

Jamii Africa

Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania hatarini kumezwa na misaada kutoka China

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za Afrika hutegemea misaada na mikopo kutoka katika nchi zilizoendelea ili kujiendesha kiuchumi na kutoa huduma za kijamii kwa wananchi. Kutokana na kuwa na rasilimali…

Jamii Africa

Udadisi na ukweli vitainusuru jamii na habari za uongo

Katika kukabiliana na habari za uongo zinazosambazwa katika jamii, Watanzania wametakiwa kutumia taarifa zilizothibitishwa na vyanzo vya habari vinavyotambulika kisheria. Kutokana na kukuwa kwa teknolojia ya mawasiliano, baadhi ya watu…

Jamii Africa

Haki ya kujieleza ilivyopindishwa katika mchakato wa Katiba Mpya

Uhuru wa mtu kutoa maoni kwa jambo analoliamini ni haki ya kila mtu isipokuwa tu pale haki hiyo inapoonekana kuvunja haki nyingine za msingi za watu. Uhuru wa kutoa maoni…

Jamii Africa

Elimu ya uhifadhi wa mazao kuihakikishia jamii usalama wa chakula

Imebainika kuwa sehemu kubwa ya mazao ya chakula yanayohifadhiwa katika maghala hupotea kutokana na kukosekana kwa njia bora za uhifadhi wa chakula. Hali hiyo inatajwa kupunguza thamani ya mazao ambayo…

Jamii Africa

Nchi ya China ilivyoimarisha uchumi na maendeleo ya Tanzania

China taifa lililo Mashariki ya mbali lenye uchumi unaokuwa kwa kasi na kuwa miongoni mwa mataifa duniani yenye ushawishi mkubwa katika diplomasia ya kimataifa. Mafanikio ya kiuchumi ya Jamuhuri ya…

Jamii Africa

Uchaguzi wa marudio Kenya: Vurugu zatawala, wengi wajifungia nyumbani

Vurugu na idadi ndogo ya wapiga kura katika vituo imeshuhudiwa katika uchaguzi wa marudi nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi  na Mipaka (IEBC)  imeahirisha uchaguzi huo katika baadhi ya maeneo hadi…

Jamii Africa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Mashinji kuhojiwa na DCI

Katika kile kinachotajwa ni kamata kamata ya viongozi wa upinzania, leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dkt. Vicent Mashinji  ametakiwa kuripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa…

Jamii Africa

Waziri Mpango asisitiza uchumi umeimarika, aitaka sekta binafsi kushirikiana na serikali

Wakati mjadala ukiendelea juu ya hali ya uchumi nchini, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema uchumi wa nchi umeimarika na umekuwa kwa asilimia 6.8. Kauli ya Waziri Dkt.…

Jamii Africa