Ni sahihi kumhukumu mtoto wa kike kwa tatizo la mimba shuleni?
HIVI karibuni, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo kwamba hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi.
Taifa Stars ‘yanyolewa kwa wembe butu’, safari ya Kenya 2018 yachina
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeendelea kudhihirisha kauli ya Rais mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ally Hassan Mwinyi, kwamba ni ‘kichwa cha mwendawazimu’ baada ya…
Mama Namaingo ahamasisha kilimobiashara na ujasiriamali kwa akinamama wa Green Voices
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahim, amewataka akinamama wanatekeleza mradi wa Green Voices Tanzania kuwa wabunifu na kutokata tamaa katika shughuli wanazozifanya.
Faida za muhogo ni zaidi ya kuongeza ‘heshima ya ndoa’
FOLENI za Jiji la Dar es Salaam zimenifanya nijifunze mambo mengi sana ya kijamii. Kwa jinsi zilivyo ndefu, hususan hii ya Barabara ya Mandela kama unatoka Ubungo, unaweza kutumia hata…
Tiketi ya Taifa Stars kwenda fainali Kenya 2018 iko Rwanda
KUFUZU ama kutokufuzu kwa Taifa Stars kwa fainali za Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Kombe la CHAN) kutajulikana leo wakati timu hiyo itakapomenyana na Rwanda katika mchezo wa…
Magufuli: Watanzania kusafiri kwa Bajaj kutoka Kigoma hadi Dar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amesema anataka kuona Watanzania wakisafiri kwa Bajaj kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam baada ya kuimarishwa kwa mtandao wa barabara…
Rais Magufuli atishia kufunga migodi yote, asema bora awape Watanzania
RAIS John Magufuli ametishia kufunga migodi yote inayomilikiwa na wawekezaji kutoka nje ikiwa wawekezaji hao watashindwa kuanzisha mazungumzo haraka juu ya umiliki wao pamoja na kodi wanazopaswa kulipa.
Baada ya ukarabati, Uwanja wa Ndege Tabora kujiendesha kiuchumi
WAKATI Rais Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuuzindua Jumatatu, Julai 24, 2017, Uwanja wa Ndege Tabora sasa unatakiwa kujiendesha wenyewe baada ya ukarabati mkubwa uliogharimu Shs. 27 bilioni.
Wakazi Ileje wasubiri barabara ya Shs. 107.6bil. kuwaunganisha na Malawi
WAKAZI wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamesema hawataamini ahadi ya serikali ya kujenga barabara ya Mpemba-Isongole mpaka watakapoona imekamilika, kwani wamemchoka na ahadi nyingi zisizotimia.