Mimba za Utotoni, tatizo ni mtoto wa kike?
JUMA lililopita, Rais John Pombe Magufuli alitoa agizo ya kuwa hakuna mwanafunzi aliyepata ujauzito atarudi shule kuendelea kwa masomo kwa kuwa serikali haiwezi kusomesha wazazi. Wito huu wa Rais unaweza…
Twaweza: Rushwa yapungua, maisha yazidi kuwa ngumu katika utawala wa Magufuli
TAASISI ya Twaweza imetoa utafiti wake leo Alhamisi Juni 15, 2017 na kueleza kwamba kiwango cha rushwa kwa watendaji wa umma kimeshuka ndani ya siku 500 tangu Rais Dkt. John…
Utafiti: Asilimia 84 kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020
ASILIMIA 84 ya wananchi wamesema watapiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2020 ikilinganishwa na asilimia 67 ambao walijitokeza katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Utafiti wa Twaweza: Kati ya Watanzania 10, saba wanamkubali Rais Magufuli
WATANZANIA saba kati ya 10 wanaukubali utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli pamoja na serikali yake ya awamu ya tano. Hayo yameelezwa katika utafiti wa Sauti za Wananchi uliofanywa…
Katavi: Ziara za viongozi kero kwa wanafunzi. Wamsubiri DC kuanzia saa tatu asubuhi, yeye awasili saa saba mchana
WALIMU na wanafunzi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamelalamikia tabia ya viongozi wa serikali kuwalazimisha kushiriki shughuli ambazo hata hazihusu maendeleo yao kielimu. Wakizungumza na FikraPevu kwa sharti la…
Katavi: Shule yenye miaka 40, nyumba ya Mwalimu Mkuu haina choo
NYUMBA ya Mwalimu Mkuu katika Shule ya Msingi Mtapemba kwenye Halmashauri ya Nsimbo, takriban kilometa 15 tu kutoka wilayani Mpanda, haina choo. Uchunguzi wa FikraPevu umebaini kwamba, ili kupata huduma,…
Katavi: Zahanati nyingi zakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vyumba, vitanda vya kujifungulia
WAKATI dunia ikiwa katika miaka ya mwanzo ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), huenda bado ipo haja ya kutazama upya utekelezwaji wa Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs).…
Rushwa: TAKUKURU wanangoja nini kukamata aliyetaka kumhonga Rais?
ALHAMISI, Mei 25, 2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliibuka na kusema kwamba wapo wahujumu uchumi waliotaka kumhonga Rais John Magufuli kiasi cha…
Hatimaye Simba yakwea pipa, yaitandika Mbao FC 2-1 fainali Kombe la Shirikisho
BAADA ya rufaa yake kutupwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), hatimaye Simba wamejifariji kwa kunyakua Kombe la Shikirisho la Azam kwa kuifunga Mbao FC mabao 2-1 kwenye mechi…