Mauaji ya albino: Pendo na Said Abdallah wametoweka, makaburi yanafukuliwa. Juhudi za serikali zimepotelea wapi?
JANUARI 3, 2017 majira ya saa 3:00 usiku katika Kitongoji cha Songambele, Kijiji cha Mumba, Kata ya Masoko katika Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya, wakati wananchi wengine wakiwa wameanza…
Katavi: Vyeti feki vyaathiri huduma Duka la MSD. Watumishi watatu wakumbwa na fagio
NDOTO za wananchi wa Manispaa ya Mpanda na Mkoa wa Katavi kwa ujumla za Jumanne ya Januari 17, 2017 kuhusu kutatuliwa kwa changamoto ya upatikanaji wa dawa zimeyeyuka baada ya…
Siku za Trump zahesabika kabla ya kushitakiwa. Ni kuhusu kashfa ya Russiagate
UPO uwezekano mkubwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kuondolewa madarakani wakati wowote kuanzia sasa. Trump (70) anaweza kuondolewa na bunge baada kuibuka dalili za wawakilishi wa wananchi kuanza mchakato…
Liganga-Mchuchuma: Danadana za maisha bora zaongeza umasikini
TANZANIA imejaa watu wengi wanaopenda “ujanjaujanja” katika harakati za kufanikiwa maishani. Wengi wanapenda kuvuna wasichopanda na kula wasicholima wala huhemea. Wao wanaamini kutumia “njia za mkato” ili waneemeke.
Rais Magufuli, Lowassa ‘kuvaana’ uchaguzi Kenya. Jubilee waishutumu Tanzania kuiba kura
SASA ni dhahiri kwamba Rais John Magufuli atakuwa katika mikakati ya kuhakikisha swahiba wake, Raila Odinga anashinda urais wa Kenya katika uchaguzi wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika Agosti 8, mwaka…
Gesi majumbani Lindi, Mtwara bado sana. Magari nayo hayafanyi kazi
MATUMAINI ya wakazi wa Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kuanza kutumia gesi asilia majumbani mwao Julai, mwaka huu, hayapo tena. Kukosekana kwa matumaini hayo kunatokana na kushindwa kukamilika kwa…
Pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia moja” lafikisha hariri na kauri mpya barani Afrika
Kwa wenye uelewa wa ndani juu ya historia ya dunia, bila shaka watakuwa wanafahamu kwamba katika kipindi fulani kwenye historia ya dunia (207 BC–220 AD), China ilikuwa ni moja ya…
Ongezeko la wakimbizi Kigoma laongeza changamoto ya huduma za afya
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotoa hifadhi kwa idadi kubwa ya wakimbizi duniani ikiwa nao zaidi ya 300,000. Ukarimu huo umeifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazopokea idadi kubwa ya…
Kesi namba 458 inayowakabili Wakurugenzi wa JamiiForums: Mawakili wavutana kuhusu kidhibiti, yaahirishwa hadi Juni 5
MAWAKILI wa upande wa utetezi na wale wa mashtaka katika Kesi namba 458 inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums wamevutana leo kuhusiana kupokelewa kwa kidhibiti mahakamani. Mvutano huo uliibuka baada ya wakili…