Baada ya operesheni ya dawa za kulevya, tunayataka mabilioni yaliyofichwa Uswisi
SERIKALI ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, imethubutu kwa dhati kupambana na biashara haramu ya dawa za kulevya. Uthubutu huo unatokana na kuweka majina ya “vigogo” wa…
Milima ya Livingstone yaihamisha reli kutoka Mbamba Bay hadi Ameilia Bay
UWEPO wa milima mingi ya Livingstone katika wilaya za Mbinga na Nyasa mkoani Ruvuma, umeilazimu Serikali kuihamisha Reli ya Kusini, inayotokea Bandari ya Mtwara, ambapo badala ya kuishia Mbamba Bay,…
DAWASCO, Mita za maji zitumike kuondoa kero kwa wateja
MFUMO ambao unatumiwa na Kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salam (Dawasco) kusomaji wa mita kwa sasa, ni kupitia kwa mtu maalumu anayepita kwenye nyumba za wateja na kisha…
MUVI: Mbegu bora za nyanya zitahimili mtikisiko wa masoko
WAKULIMA wa nyanya mkoani Iringa sasa wamepata suluhisho la tatizo la kuharibika kwa zao hilo baada ya kuvunwa. Hii ni baada ya Mradi wa Muunganisho wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) kuwahamasisha kutumia mbegu…
Ujenzi wa Reli ya Kati kuondoa adha ya usafiri. Jiwe la msingi kuwekwa wiki hii
UJENZI wa kipande cha kwanza cha Reli ya Kati chenye urefu wa kilometa 300 unatarajiwa kuanza mwezi Aprili, mwaka huu huku uwekaji wa jiwe la msingi ukitarajiwa kufanyika wiki hii.…
Bohari Kuu ya Dawa-MSD yakwamisha tiba haraka kwa wagonjwa wa Mafia
UTARATIBU wa kununua dawa kwa mzabuni binafsi zinapokosekana Bohari Kuu ya Dawa (MSD), unasababisha uhaba wa dawa, vifaa vya tiba kwenye zahanati na hospitali wilayani Mafia mkoani Pwani. Kulingana na…
Mafia: Wagonjwa wengi wanapona kwa miujiza. Hakuna dawa
BAJETI finyu inayotengwa kwa ajili ya sekta ya afya nchini, inachangia kukosekana dawa na vifaa vya tiba katika zahanati na hospitali za umma wilayani Mafia, Pwani. Halmashauri ya Wilaya ya…
Tanga: Wapewa risiti bandia wakinunua dawa jirani na Hospitali ya Bombo
BAADHI ya maduka ya dawa za binadamu jijini Tanga wanakaidi agizo la serikali la kutumia mashine za kielektroniki (EFD) kutoa risiti kwa wateja wao. Kukaidi agizo hilo na kutoa risiti…
Kipundupindu, rafiki wa Dar es Salaam anayehamia Dodoma
PAMOJA na kuendelea kwa harakati za serikali kuhamia rasmi Dodoma, hofu ya kuongezeka kwa kero ya maji katika mji huo ni kubwa. Hofu hiyo haitapungua, angalau kwa sasa, bali itaongezeka…