Je, Tanzania tuitakayo ni ipi?
Nilipata fursa ya kusikiliza kongamano lililoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika lililofanyika nchini Rwanda mwaka 2014. Kongamano hilo lililoandaliwa kama sehemu ya kuazimisha mwaka wa Benki ya Maendeleo ya…
Uhaba wa Dawa: Kauli zinazokinzana toka Serikalini na hatma ya Tanzania
SERIKALI imeendelea kuwachezesha shere Watanzania kuhusu suala la upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vya afya kwa kurudia taarifa zile zile ambazo zimekuwa zikilalamikiwa, FikraPevu imebaini. Katika kipindi…
Ufisadi mkubwa katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
PILIKA zilikuwa nyingi wakati gari binafsi linapofunga breki mbele ya eneo la mapokezi katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke jijini Dar es Salaam. Mlango wa gari hili dogo unafunguliwa haraka…
Udalali, utapeli kukwamisha kasi ya ufugaji sungura nchini
MONICA Kiondo, mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, yuko na mfanyakazi wake akihangaika kuwanyonyesha watoto wa sungura huku jua la utosini likiwaka. “Mama yao hataki kuwanyonyesha, sasa naogopa wasije…
Girls’ education affected by water availability
We world population - close to 6.6 billion, lives in the driest half of the planet. While 1 billion people do not have access to clean water and almost 2.5…
Tanzania readiness for industrialization on the doldrums
THE Tanzania economic growth is volatile, non-inclusive and marked by stagnation in industry since the retirement of the first president Mwalimu Julius Nyerere in 1985. The growth is not inclusive…
Tuimarishe maadili ya umma katika vita dhidi ya rushwa
Tanzania iliadhimisha siku ya maadili na haki za binadamu tarehe 10 Desemba katika sehemu mbalimbali za nchi ambapo kilele chake kilifanyika Mnazi mmoja Dar es Salaam. Ikumbukwe kuwa tarehe 10…
Wassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya
WAZIRI mwandamizi wa serikali ya Tanzania kwa awamu nne za uongozi, Stephen Masato Wassira, kupitia kwa wafuasi wake watatu, amekata rufaa Mahakama ya Rufaa, akipinga uamuzi wa Mahakama Kuu kwa…
Sheria ya Makosa ya Mitandao ni mtego wa panya, hakuna aliye salama!
UJIO wa Sheria ya Makosa ya Mtandao (The Cyber Crimes Act, 2015) ambayo ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano karibu saa 6 usiku Jumatano, Aprili Mosi, 2015, hauna tofauti…